From 2723f475344f64e320f8f9f5b97e971c3c5542ec Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: embracekenya Date: Wed, 10 May 2023 10:27:50 +0300 Subject: [PATCH] Wed May 10 2023 10:27:50 GMT+0300 (East Africa Time) --- 67/01.txt | 2 +- 67/03.txt | 1 + 67/05.txt | 1 + 67/07.txt | 1 + 68/01.txt | 1 + 68/title.txt | 1 + manifest.json | 5 +++++ 7 files changed, 11 insertions(+), 1 deletion(-) create mode 100644 67/03.txt create mode 100644 67/05.txt create mode 100644 67/07.txt create mode 100644 68/01.txt create mode 100644 68/title.txt diff --git a/67/01.txt b/67/01.txt index 6578649..8cb40db 100644 --- a/67/01.txt +++ b/67/01.txt @@ -1 +1 @@ -\c 67 1 Mungu atuhurumie sisi na utubariki na kufanya nuru ya uso wake ituangazie, Selah 2 ili kwamba njia zako zijulikane nchi yote, wokovu wako kati ya mataifa yote. \ No newline at end of file +\c 67 \v 1 Mungu atuhurumie sisi na utubariki na kufanya nuru ya uso wake ituangazie, Selah \v 2 ili kwamba njia zako zijulikane nchi yote, wokovu wako kati ya mataifa yote. \ No newline at end of file diff --git a/67/03.txt b/67/03.txt new file mode 100644 index 0000000..fa16b86 --- /dev/null +++ b/67/03.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 3 Watu wakusifu wewe, Mungu; watu wote wakusifu wewe. \v 4 Oh, mataifa wafurahi na kuimba kwa furaha, maana utawahukumu watu kwa haki na kuwaongoza mataifa walioko duniani. \ No newline at end of file diff --git a/67/05.txt b/67/05.txt new file mode 100644 index 0000000..80d78d2 --- /dev/null +++ b/67/05.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 5 Watu wakushukuru wewe, Mungu; watu wote wakusifu wewe. \v 6 Nchi imetoa mavuno yake na Mungu, Mungu wetu, ametubariki. \ No newline at end of file diff --git a/67/07.txt b/67/07.txt new file mode 100644 index 0000000..4d04ce9 --- /dev/null +++ b/67/07.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 7 Mungu ametubariki sisi, na miisho yote ya dunia itamuheshimu yeye. \ No newline at end of file diff --git a/68/01.txt b/68/01.txt new file mode 100644 index 0000000..9d76294 --- /dev/null +++ b/68/01.txt @@ -0,0 +1 @@ +\c 68 \v 1 Mungu ainuke, maadui zake watawanyike; pia wale wamchukiao wakimbie mbele zake.\v 2 Kama moshi uondoshwavyo, hivyo uwaondoshe wao; kama nta iyeyukavo mbele ya moto, hivyo waovu waangamizwe uweponi mwa Mungu.\v 3 Bali wenye haki wafurahi; washangilie mbele za Mungu; washangilie na kufurahi. \ No newline at end of file diff --git a/68/title.txt b/68/title.txt new file mode 100644 index 0000000..9e00966 --- /dev/null +++ b/68/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +Sura 68 \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 3dfc736..e67002f 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -375,6 +375,11 @@ "66-16", "66-19", "67-title", + "67-01", + "67-03", + "67-05", + "67-07", + "68-title", "101-title", "101-01", "101-02",