Wed May 10 2023 10:27:50 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embracekenya 2023-05-10 10:27:50 +03:00
parent 3c66586cab
commit 2723f47534
7 changed files with 11 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 67 1 Mungu atuhurumie sisi na utubariki na kufanya nuru ya uso wake ituangazie, Selah 2 ili kwamba njia zako zijulikane nchi yote, wokovu wako kati ya mataifa yote. \c 67 \v 1 Mungu atuhurumie sisi na utubariki na kufanya nuru ya uso wake ituangazie, Selah \v 2 ili kwamba njia zako zijulikane nchi yote, wokovu wako kati ya mataifa yote.

1
67/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Watu wakusifu wewe, Mungu; watu wote wakusifu wewe. \v 4 Oh, mataifa wafurahi na kuimba kwa furaha, maana utawahukumu watu kwa haki na kuwaongoza mataifa walioko duniani.

1
67/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Watu wakushukuru wewe, Mungu; watu wote wakusifu wewe. \v 6 Nchi imetoa mavuno yake na Mungu, Mungu wetu, ametubariki.

1
67/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Mungu ametubariki sisi, na miisho yote ya dunia itamuheshimu yeye.

1
68/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 68 \v 1 Mungu ainuke, maadui zake watawanyike; pia wale wamchukiao wakimbie mbele zake.\v 2 Kama moshi uondoshwavyo, hivyo uwaondoshe wao; kama nta iyeyukavo mbele ya moto, hivyo waovu waangamizwe uweponi mwa Mungu.\v 3 Bali wenye haki wafurahi; washangilie mbele za Mungu; washangilie na kufurahi.

1
68/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 68

View File

@ -375,6 +375,11 @@
"66-16", "66-16",
"66-19", "66-19",
"67-title", "67-title",
"67-01",
"67-03",
"67-05",
"67-07",
"68-title",
"101-title", "101-title",
"101-01", "101-01",
"101-02", "101-02",