Fri Apr 28 2023 16:05:34 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
63f9e7cefe
commit
19c5932511
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\15 Kelele za ushindi zimesikika katika maskani ya wenye haki; mkono wa kuume wa Mungu umeshinda. 16 Mkono wa kuume wa Mungu umetukuka; mkono wa kuume wa Yahwe umeshinda. 17 Sitakufa, bali nitaishi na kuyatangaza matendo ya Yahwe. 18 Yahwe ameniadhibu vikali; lakini hajaruhusu nife. 19 Unifungulie milango ya haki; nitaingia na nitamshukuru Yahwe. 20 Hili ni lango la Yahwe; wenye haki hupitia kwalo.
|
||||
\v 15 Kelele za ushindi zimesikika katika maskani ya wenye haki; mkono wa kuume wa Mungu umeshinda. \v 16 Mkono wa kuume wa Mungu umetukuka; mkono wa kuume wa Yahwe umeshinda.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 17 Sitakufa, bali nitaishi na kuyatangaza matendo ya Yahwe. \v 18 Yahwe ameniadhibu vikali; lakini hajaruhusu nife.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 19 Unifungulie milango ya haki; nitaingia na nitamshukuru Yahwe. \v 20 Hili ni lango la Yahwe; wenye haki hupitia kwalo. \v 21 Nitakushukuru wewe, kwa kuwa ulinijibu, na umekuwa wokovu wangu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 22 Jiwe ambalo wajenzi walilikataa wajenzi limekuwa msingi. \v 23 Yahwe ndiye afanyaye hili; ni la ajabu machoni petu. 24 Hii ni siku ambayo Yahwe ametenda; tutaifurahia na kuishangilia. 25 Tafadhali, Yahwe, utupe ushindi! Tafadhali, Yahwe, utupe mafanikio! 26 Amebarikiwa yule ajaye katika jina la Yahwe; tunakubariki kutoka katika nyumba ya Yahwe. 27 Yahwe ni Mungu, na ametupa sisi nuru; ifungeni dhabihu kwa kamba pembeni mwa madhabahu. 28 Wewe ni Mungu wangu, nami nitakushukuru; wewe ni Mungu wangu; nitakutukuza wewe. 29 Oh, mshukuruni Yahwe; kwa kuwa ni mwema; kwa maana uaminifu wa agano lake wadumu milele.
|
Loading…
Reference in New Issue