Fri Apr 28 2023 16:03:34 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-04-28 16:03:34 +03:00
parent 59c634d233
commit 63f9e7cefe
6 changed files with 6 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Nyumba ya Haruni na iseme, "Uaminifu wa agano lake wadumu milele." \v 4 Wafuasi waaminifu wa Yahwe na waseme, "Uaminifu wa agano lake wadumu milele." 5 Katika dhiki yangu nilimuita Yahwe; Yahwe alinijibu na kuniweka huru. 6 Yahwe yuko pamoja nami; sitaogopa; mwanadamu atanifanya nini? Yahwe yuko upande wangu kama msaidizi; 7 nitawatazama kwa ushindi wale walio nichukia. 8 Ni bora kuwa na makazi katika Yahwe kuliko kumtumainia mwanadamu. 9 Ni bora kukimbilia katika Yahwe kuliko kuamini katika wakuu. 10 Mataifa yote walinizunguka; kwa jina la Yahwe niliwakatilia mbali. 11 Walinizunguka; naam, walinizunguka; kwa jina la Yahwe niliwakatilia mbali. 12 Walinizunguka kama nyuki; walitoweka haraka kama moto kati ya miiba; kwa jina la Yahwe niliwakatilia mbali. 13 Walinishambulia ili waniangushe, lakini Yahwe alinisaidia. 14 Yahwe ni nguvu yangu na furaha yangu, na ndiye anaye niokoa. 15 Kelele za ushindi zimesikika katika maskani ya wenye haki; mkono wa kuume wa Mungu umeshinda. 16 Mkono wa kuume wa Mungu umetukuka; mkono wa kuume wa Yahwe umeshinda. 17 Sitakufa, bali nitaishi na kuyatangaza matendo ya Yahwe. 18 Yahwe ameniadhibu vikali; lakini hajaruhusu nife. 19 Unifungulie milango ya haki; nitaingia na nitamshukuru Yahwe. 20 Hili ni lango la Yahwe; wenye haki hupitia kwalo.
\v 3 Nyumba ya Haruni na iseme, "Uaminifu wa agano lake wadumu milele." \v 4 Wafuasi waaminifu wa Yahwe na waseme, "Uaminifu wa agano lake wadumu milele."

1
118/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Katika dhiki yangu nilimuita Yahwe; Yahwe alinijibu na kuniweka huru. \v 6 Yahwe yuko pamoja nami; sitaogopa; mwanadamu atanifanya nini? Yahwe yuko upande wangu kama msaidizi; \v 7 nitawatazama kwa ushindi wale walio nichukia.

1
118/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Ni bora kuwa na makazi katika Yahwe kuliko kumtumainia mwanadamu. \v 9 Ni bora kukimbilia katika Yahwe kuliko kuamini katika wakuu.

1
118/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Mataifa yote walinizunguka; kwa jina la Yahwe niliwakatilia mbali. \v 11 Walinizunguka; naam, walinizunguka; kwa jina la Yahwe niliwakatilia mbali. \v 12 Walinizunguka kama nyuki; walitoweka haraka kama moto kati ya miiba; kwa jina la Yahwe niliwakatilia mbali.

1
118/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Walinishambulia ili waniangushe, lakini Yahwe alinisaidia. \v 14 Yahwe ni nguvu yangu na furaha yangu, na ndiye anaye niokoa.

1
118/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\15 Kelele za ushindi zimesikika katika maskani ya wenye haki; mkono wa kuume wa Mungu umeshinda. 16 Mkono wa kuume wa Mungu umetukuka; mkono wa kuume wa Yahwe umeshinda. 17 Sitakufa, bali nitaishi na kuyatangaza matendo ya Yahwe. 18 Yahwe ameniadhibu vikali; lakini hajaruhusu nife. 19 Unifungulie milango ya haki; nitaingia na nitamshukuru Yahwe. 20 Hili ni lango la Yahwe; wenye haki hupitia kwalo.