Wed May 10 2023 17:55:55 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
f4931263cf
commit
066d123c1b
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 4 Ee Yahwe, unilinde dhidi ya mikono ya waovu; unikinge na vurugu za watu wanaopanga kuniangusha. 5 Wenye majivuno wameweka mtego kwa ajili yangu; wameeneza nyavu; wameweka kitanzi kwa ajili yangu. Selah
|
||||
\v 4 Ee Yahwe, unilinde dhidi ya mikono ya waovu; unikinge na vurugu za watu wanaopanga kuniangusha. \v 5 Wenye majivuno wameweka mtego kwa ajili yangu; wameeneza nyavu; wameweka kitanzi kwa ajili yangu. Selah
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 Nilimwambia Yahwe, "Wewe ni Mungu wangu; usikie kilio changu unihurumie." \v 7 Ee Yahwe, Bwana wangu, wewe ni mwenye nguvu uwezaye kuniokoa; hunifunika ngao kichwa changu siku ya vita. \v 8 Ee Yahwe, usiyatimize matakwa ya waovu; usiruhusu njama zao kufanikiwa. Selah
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 9 Wale wanao nizunguka huinua vichwa vyao; madhara ya midomo yao wenyewe na yawafunike. \v 10 Makaa ya moto na yawaangukie; uwatupe motoni, kwenye shimo refu, wasiweze kuinuka tena. \v 11 Wasingiziaji wasifanywe salama juu ya nchi; na uovu umwinde na kumpiga mtu mwenye vurugu mpaka afe.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 12 Ninajua kuwa Yahwe atahukumu kwa haki walioteswa, na kuwa atawapa haki wahitaji. \v 13 Hakika watu wenye haki watalishukuru jina lako; watu wanyoofu wataishi uweponi mwako.
|
|
@ -977,6 +977,10 @@
|
|||
"139-23",
|
||||
"140-title",
|
||||
"140-01",
|
||||
"140-04",
|
||||
"140-06",
|
||||
"140-09",
|
||||
"140-12",
|
||||
"141-title",
|
||||
"141-01",
|
||||
"141-03",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue