diff --git a/140/04.txt b/140/04.txt index 3e09032..e0e70ed 100644 --- a/140/04.txt +++ b/140/04.txt @@ -1 +1 @@ -\v 4 Ee Yahwe, unilinde dhidi ya mikono ya waovu; unikinge na vurugu za watu wanaopanga kuniangusha. 5 Wenye majivuno wameweka mtego kwa ajili yangu; wameeneza nyavu; wameweka kitanzi kwa ajili yangu. Selah \ No newline at end of file +\v 4 Ee Yahwe, unilinde dhidi ya mikono ya waovu; unikinge na vurugu za watu wanaopanga kuniangusha. \v 5 Wenye majivuno wameweka mtego kwa ajili yangu; wameeneza nyavu; wameweka kitanzi kwa ajili yangu. Selah \ No newline at end of file diff --git a/140/06.txt b/140/06.txt new file mode 100644 index 0000000..25d9e87 --- /dev/null +++ b/140/06.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 6 Nilimwambia Yahwe, "Wewe ni Mungu wangu; usikie kilio changu unihurumie." \v 7 Ee Yahwe, Bwana wangu, wewe ni mwenye nguvu uwezaye kuniokoa; hunifunika ngao kichwa changu siku ya vita. \v 8 Ee Yahwe, usiyatimize matakwa ya waovu; usiruhusu njama zao kufanikiwa. Selah \ No newline at end of file diff --git a/140/09.txt b/140/09.txt new file mode 100644 index 0000000..54174ec --- /dev/null +++ b/140/09.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 9 Wale wanao nizunguka huinua vichwa vyao; madhara ya midomo yao wenyewe na yawafunike. \v 10 Makaa ya moto na yawaangukie; uwatupe motoni, kwenye shimo refu, wasiweze kuinuka tena. \v 11 Wasingiziaji wasifanywe salama juu ya nchi; na uovu umwinde na kumpiga mtu mwenye vurugu mpaka afe. \ No newline at end of file diff --git a/140/12.txt b/140/12.txt new file mode 100644 index 0000000..da4bf1f --- /dev/null +++ b/140/12.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 12 Ninajua kuwa Yahwe atahukumu kwa haki walioteswa, na kuwa atawapa haki wahitaji. \v 13 Hakika watu wenye haki watalishukuru jina lako; watu wanyoofu wataishi uweponi mwako. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 329ce9f..c2ccdd3 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -977,6 +977,10 @@ "139-23", "140-title", "140-01", + "140-04", + "140-06", + "140-09", + "140-12", "141-title", "141-01", "141-03",