1 line
174 B
Plaintext
1 line
174 B
Plaintext
|
\v 11 Yahwe alilifanya giza kuwa hema likimzunguka yeye, wingu la mvua zito katika mbingu. \v 12 Mawe ya barafu na makaa ya moto yalianguka kutoka katika mwangaza kabla yake.
|