Mon Apr 24 2023 05:30:04 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
668614f709
commit
e2ab5612da
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 11 Yahwe alilifanya giza kuwa hema likimzunguka yeye, wingu la mvua zito katika mbingu. \v 12 Mawe ya barafu na makaa ya moto yalianguka kutoka katika mwangaza kabla yake.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 13 Yahwe aliongea katika mbingu! Sauti ya aliye juu ilisikika. \v 14 Yeye aliifyatua mishale yake na kuwatawanya adui zake; na radi nyingi zenye mwanga alizitawanya katika maeneo tofauti tofauti.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 15 Ndipo mifereji ya maji ilitokea; misingi ya dunia ikadhihirishwa kwa mlio wa pigo lako, Yahwe kwa sauti ya pumzi ya pua lako.
|
|
@ -150,6 +150,9 @@
|
|||
"18-04",
|
||||
"18-06",
|
||||
"18-07",
|
||||
"18-09"
|
||||
"18-09",
|
||||
"18-11",
|
||||
"18-13",
|
||||
"18-15"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue