1 line
231 B
Plaintext
1 line
231 B
Plaintext
|
\v 5 Katika dhiki yangu nilimuita Yahwe; Yahwe alinijibu na kuniweka huru. \v 6 Yahwe yuko pamoja nami; sitaogopa; mwanadamu atanifanya nini? Yahwe yuko upande wangu kama msaidizi; \v 7 nitawatazama kwa ushindi wale walio nichukia.
|