Kusanya vitu vyako
"Kusanya mali zako"
Tazama
neno "tazama" limetumika kusisitiza yale yanayofuata
Ni tayari kuwatupa wakazi wa nchi nje wakati huu
"Nitawafanya watu wanaoishi kwenye nchi kuiacha nchi"
wakazi wa nchi
"watu wanaoishi katika nchi"
huzuni
"maumivumakubwa"