forked from WA-Catalog/sw_tn
356 B
356 B
Taarifa kwa ujumla
Hii ni orodha ya idadi ya vitu
Therasini ....... moja elfu....... ishirini -tisa
tisa** - "30..... 1,000.... 29"
beseni......mabakuli
vyombo vilivyotumika kutunzia maji ya kunawia
5,400 dhahabu na vitu vya fedha vyote
jumla ya idadi ya vitu vilivyorudi Yerusalem kutoka Babeli, vimeorodheshwa hapo juu kwa kutenganishwa.