forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
416 B
Markdown
17 lines
416 B
Markdown
# Habari ya jumla
|
|
|
|
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
|
|
|
|
# amri zote na amri
|
|
|
|
Hizi ni amri na amri Musa atawapa katika Kumbukumbu la Torati 12-26
|
|
|
|
# Ninaweka mbele yenu leo
|
|
|
|
Hii haina maana hizi ni mpya. Musa anatazama amri sawa na amri ambazo alitoa miaka 40 mapema.
|
|
|
|
# Ninaweka mbele yenu
|
|
|
|
Amri za Mungu na amri, ambazo Musa anawaambia watu, huzungumzwa kama vilikuwa ambavyo Musa anaweka mbele ya watu.
|
|
|