forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
728 B
Markdown
21 lines
728 B
Markdown
# Taarifa ya ujumla
|
|
|
|
Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja. Aendelea kuwakumbusha nini wanapaswa "kutafakari akilini"
|
|
|
|
# Aliwanyenyekeza
|
|
|
|
"Yahwe aliwaonyesha namna mlivyo dhaifu na wenye dhambi" Ona namna "anaweza kuwanyenyekeza" imetofasiriwa katika 8:1
|
|
|
|
# aliwalisha kwa manna
|
|
|
|
"aliwapa manna kula"
|
|
|
|
# si kwa mkata tu kwamba watu waishi
|
|
|
|
Hapa "mkate" uwakilisha chakula. "chakula si kitu pekee watu wanahitaji ili waishi"
|
|
|
|
# ni kwa kila kitu ambacho hutoka kinywani mwa Yahwe ambacho watu wanaishi
|
|
|
|
Hapa "kinywani mwa Yahwe" ni maneno ya Yahwe anayosema. "watu wanapaswa kutii amri za Yahwe ili kwamba waweze kuishi" au " watu wanapaswa kufanya kila Yahwe awaambia kufanya ili kwamba waweze kuishi"
|
|
|