forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
882 B
Markdown
25 lines
882 B
Markdown
# Taarifa ya ujumla
|
|
|
|
Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama vile wanaisraeli wako mtu mmoja.
|
|
|
|
# Utabarikiwa zaidi kuliko watu wengine wote
|
|
|
|
Hii inaweza kutajwa katika kauli tendaji. "Nitakubariki zaidi kuliko ninavyowabariki watu wengine wowote."
|
|
|
|
# hapatakuwa na utasa wa kiume au wa kike miongoni mwenu au miongoni mwa mifugo yenu
|
|
|
|
Musa atumia maelezo hasi kusisitiza kwamba wote wataweza kuwa na watoto. Hii inaweza kutajwa katika hali chanya. "Wote ninyi mtaweza kuwa na watoto na mifugo wataweza kuzaa"
|
|
|
|
# miongoni mwenu...mifugo
|
|
|
|
Maneno haya "wewe" na "yako" viko katika wingi.
|
|
|
|
# chukua mbali na magonjwa yako yote
|
|
|
|
"hakikisha haumwi" au "jiweke kabisa na afya"
|
|
|
|
# hakuna hata magonjwa mabaya ... atakayoweka juu yenu, lakini atayaweka juu ya wale wanaomchukia.
|
|
|
|
Musa anazungumza kama ugonjwa ulikuwa kitu kizito ambacho Yahwe angeweka juu ya watu. "
|
|
|