sw_tn_fork/deu/02/20.md

37 lines
878 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Hii mistari inaanza kutoa taarifa ya nyuma kuhusu makundi ya watu yaliyokwisha ishi kwenye nchi hiyo. Kama lugha yenu ina njia ya kuonesha kwamba kile kifuatacho ni taarifa ya nyuma, inapaswa itumiwe hapa.
# Hilo pia linafikiriwa
Hii inaweza kutajwa katika kauli tendaji.
# Rephaimu
Hili ni jina la kikundi cha watu.
# Zamzummim
Hili ni jina jingine la kikundi cha watu wa Rephaim.
# Anakimu
Hili ni jina la kikundi cha watu
# uwaharibu wao mbele ya Ammonites
"waliruhusu Ammonites kuwashinda wao" au "waliruhusu Ammonite kuwaua wote"
# waliwaondoa na kuishi katika nchi yao
"Ammonites walichukua kila kitu Rephaim walivyokuwa wamemiliki na kuishi walikoishi Rephaim"
# Horites
Hili ni jina la kikundi cha watu
# waliwaondoa na kuishi katika eneo lao
"kuchukua kila kitu cha watu wa Horites walivyomiliki na kuishi ambako waliishi Horites"