sw_tn_fork/2ki/14/11.md

21 lines
575 B
Markdown

# Lakini Amazia hakutaka kusikia.
Hapa "kusikia" inarejea kutii onyo. "Ingawa, Amazia hakutii onyo la Yehoashi"
# Hivyo Yehoashi mfalme wa Israeli akashambulia ... Amazia mfalme wa Yuda wakakuta uso kwa uso
Majeshi ya hawa wafalme yalienda kupigana nao. "Hivyo Yehoashi na jeshi lake wakaenda kupigana na Amazia na jeshi lake wakaonana uso kwa uso"
# Bethi Shemeshi
Huu ni mji katika Yuda karibu na mpaka wa Israeli.
# Yuda alishindwa na Israeli
"Israeli iliishinda Yuda"
# kila mtu alikimbia nyumbani
"watu wote waliokuwa katika jeshi la Yuda walikimbia nyumbani"