Maelezo ya jumla:
Yahwe ananena na Gogu
weka ndoana katika taya yako
Watu huweka ndoana katika midomo ya wanyama ili waweze kuongoza wanyama popote watakapo.
Puti
taifa lililoishi katika mahali ambapo ni Libya kwa sasa.
Beth-Togarma
Tazama tafsiri yake katika sura ya 27:14.