forked from WA-Catalog/sw_tn
658 B
658 B
mateka
"vitu vilivypotea." Wachungaji na wanyama wa porini wamekuwa wakiiba kondoo na mbuzi kutoka kwa mifugo ya Yahwe.
nitahukumu kati ya kondoo mmoja na mwingine
Tazama tafsiri yake katika sura ya 34:17, "nitahukumu miongoni mwa kondoo."
Nitaweka juu yao mchungaji mmoja
"nitamtuma mchungaji mmoja kuwa kiongozi wa kondoo na mbuzi wangu"
mtumishi wangu Daudi
Yahwe amesema "Daudi" inarejea kwa uzao wa Dausi. "uzao wa mtumishi wangu Daudi."
nitakuwa Mungu wao
Tazama tafsiri yake katika sura ya 11:19.
atakuwa mwana mfalme miongoni mwenu
"atakuwa mtawala"
mimi, Yahwe, nimetangaza hivi
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:15.