forked from WA-Catalog/sw_tn
349 B
349 B
neno la Yahwe likaja
"Yahwe akanena neno lake."
Mwanadamu
Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.
upanga juu ya nchi
Neno "upanga" linarejea kwa adui wa jeshi lishambulialo.
kumfanya mlinzi
"kumteua kama mlinzi"
usitilie manani
"puuza onyo"
damu ya kila mmoja iko juu ya kichwa chake mwenyewe
"ni kosa lao wenye kama wakifa"