forked from WA-Catalog/sw_tn
684 B
684 B
Maelezo ya Jumla:
Ezekieli anaendelea kueleza kuhusu maono aliyopewa na Mungu.
akalia katika masikio yangu
"nilimsikia akiniita kwa sauti"
walinzi
watu ambao hulinda kitu.
silaha ya uharibifu
silaha kwa ajili ya kuharibu watu auvitu
silaha ya kuchinja
silaha kwa ajili ya kuchinja watu wengi
tazama!
Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kinachofuata.
nguo ya kitani
imara, nguo laini iliyo tengenezwa kutokana na mmea. ilivaliwa na watu sehemu ambazo ni moto.
kifaa cha uandishi
vifaa ambavyo waandishi hutumua kuandikia
shaba
chuma kilichopakwa rangi ya dhahabu nyeusi. Imetengezwa na shaba nyekundu sana pamoja kuongezwa chuma kwa uimara.