forked from WA-Catalog/sw_tn
536 B
536 B
Nadabu ... Abihu
Haya ni majina ya wanaume.
Chini ya miguu
Hii ina muongelea Mungu kana kwamba alikuwa na miguu ya mwanadamu.
sakafu iliyo jengwa kwa jiwe la yakuti samawi
"sakafu iliyo tengenezwa kwa mawe ya buluu yanayo itwa yakuti samawi"
sakafu
ardhi ngumu iliyo tengenezwa kwa kutembelea au kuendeshea
jiwe la yakuti samawi
Hii ni dini ambalo ni buluu kwa rangi.
safi kama mbingu yenyewe
Hili ni fumbo.
Mungu hakugusa na mkono kwa hasira viongozi Waisraeli
Hii ina maana kuwa Mungu hakujeruhi viongozi.