forked from WA-Catalog/sw_tn
659 B
659 B
Habari ya jumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
hesabu wiki saba
"hesabu wiki 7"
tangu wakati unapoanza kuweka sungura kwenye nafaka zilizosimama.
Haya maneno "kuweka mundu kwenye nafaka" ni njia ya kurejea mwanzo wa muda wa kuvuna.
mundu
ni kifaa kilicho na wembe iliyopigwa kwa kukata nyasi, nafaka, na mizabibu.
pamoja na mchango wa sadaka ya kujitolea kutoka kwa mkono wako ambao utakupa
Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima.
kulingana na Yahwe Mungu wako amekubariki
"kulingana na mavuno ambayo Yahwe Mungu amekupa" Hii inamaanisha kwamba watu itatokana na kiasi ambacho wanatoa juu ya kiasi gani walichovuna mwaka huo.