sw_tn_fork/deu/04/27.md

17 lines
552 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Yahwe atawatawanyisha miongoni mwa watu
Musa anazungumza kama watu walikuwa mbegu ambayo Yahwe ataitawanyisha kuzunguka eneo. "Yahwe atawatuma ninyi kwa maeneo mengi tofauti na kuwalazimisha kuishi huko"
# atawaongoza mbali
"atawatuma" au "atasababisha adui zenu kuwapeleka mbali"
# kazi ya mikono ya watu, mbao na mawe
Hapa "mikono ya watu" urejea kwa wanaume wenyewe, na "kazi...mbao na mawe" kwa sanamu ambazo wamezichonga. "sanamu za mbao na mawe ambazo wanaume wamefanya"