Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa kufanya
sehemu ya kumi mbili ya efa
"takribani lita 4.5"
iliyochanganywa na mafuta
"ambayo mmeichanganya na mafuta"
na ile sadaka ya kinywaji
"ile sadaka ya kinywaji inayoambatana nayo"