Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuongea na Musa
utawagawia urithi mkubwa
"utawapa ardhi zaidi kuwa urithi"
waliohesabiwa
"ambao viongozi wa Israeli waliwahesabu
ardhi itagawiwa
"mtaigawa ardhi"
kwa kupigiwa kura
"kwa kupiga kura"
utagawiwa
"utaigawa"
watagawiwa
"na mtaigawa ardhi kwao"