sw_tn_fork/num/24/20.md

9 lines
196 B
Markdown

# Balamu akamtazama Amaleki
Amaleki inamaanisha watu wa Amaleki ambao pia aliwatolea unabii.
# mwisho wake utakuwa
amametumia iwakilishi "wake" kwa sababu ametumia kiwakilishi cha mtu mmoja.