sw_tn_fork/num/24/02.md

21 lines
262 B
Markdown

# Akayainua macho yake
"akatazama juu"
# Roho wa Mungu akamjia
Roho wa Muungu alimtawala wakati wa kutoa unabii.
# Akapokea huu unabii
"Mungu alimpatia huu unabii"
# Balaamu mwana wa Beori
Tazama 22:5
# ambaye macho yake yamefunuliwa
anaona na kuelewa