sw_tn_fork/gen/31/19.md

17 lines
254 B
Markdown

# Labani alipokuwa amekwenda kuwakata manyoya kondoo wake
"Wakati Labani alipoondoka kukata manyoya ya kondoo"
# mto
Hii ina maana ya mto wa Frati.
# akaenda kuelekea
"kusafiri kuelekea"
# vilima ya Gileadi
"milima ya Gileadi" au "Mlima Gileadi"