sw_tn_fork/psa/121/005.md

17 lines
591 B
Markdown

# Yahwe ni kivuli katika mkono wako wa kuume
Hapa "kivuli" inamaanisha ulinzi. "Mungu yuko pembeni yako kukulinda dhidi ya vitu vinavyoweza kukudhuru"
# mkono wako wa kuume
Hapa msemo huu unamaanisha kuwa pembeni au karibu na mwandishi.
# Jua halitakudhuru mchana, wala mwezi usiku
Maneno haya ya tofauti ya "mchana" na "usiku" yanamaanisha tofauti hizo mbili na kila kitu katikati. "Mungu anakulinda na vitu vyote wakati wote"
# wala mwezi usiku
Inadokezwa kuwa "hautakudhuru" ndio inadokezwa hapa. Maana kamili ya sentensi hii inaweza kuwekwa wazi. "wala mwezi hautakudhuru usiku"