sw_tn_fork/pro/08/10.md

9 lines
273 B
Markdown

# jipatie mafundisho yangu kuliko fedha
"fanya juhudi zaidi kufahamu mafundisho yangu kuliko kujipatia fedha"
# Maana Hekima ni bora zaidi kuliko malijani; hakuna hazina inayolingana naye.
"Maana mimi Hekima ni bora kuliko malijani, hakuna hazina inayolingana na mimi"