forked from WA-Catalog/sw_tn
677 B
677 B
Taarifa za jumla
Bwana anaendelea kumpa Obadia ujumbe wake kwa Edomu
ndugu yako Yakobo
AT "jamaa zako ambao ni wazao wa Yakobo."
utafunikwa na aibu
"utakuwa na aibu kabisa"
zitakatwa milele
"haitakuwepo tena."
alisimama karibu
"alitazama na hakufanya chochote kusaidia"
wageni
watu kutoka mataifa mengine
mali yake
Neno 'wake' linamaanisha 'Yakobo,' ambayo ni njia nyingine ya kutaja watu wa Israeli.
kupiga kura kwa ajili ya Yerusalemu
Maneno haya yanamaanisha 'walipiga kura ili kuamua nani atakayepata vitu muhimu ambavyo walichukua kutoka Yerusalemu.'
ulikuwa kama mmoja wao
"ilikuwa ni kama wewe ulikuwa mmoja wa wageni hawa na wageni"