forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
499 B
Markdown
29 lines
499 B
Markdown
# Maelezo ya Jumla:
|
|
|
|
Yahwe anaendela kunena
|
|
|
|
# mifugo yote
|
|
|
|
Mifugo ni wanyama ambao watu wanao kwa ajili ya kula na kwa sababu nyingine. Ng'ombe, kondoo, na mbuzi vyote ni mifugo.
|
|
|
|
# karibu na maji mengi
|
|
|
|
"kutoka mahali ambapo kuna maji mengi"
|
|
|
|
# mguu wa mtu
|
|
|
|
"miguu ya watu"
|
|
|
|
# Kisha nitayafanya maji kuwa masafi
|
|
|
|
"nitayafanya maji kuwa masafi."
|
|
|
|
# fanya mito yao kukimbia kama mafuta
|
|
|
|
Mafuta hutiririka pole pole na laini.
|
|
|
|
# hili ndilo tangazo la Yahwe
|
|
|
|
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.
|
|
|