sw_tn_fork/2sa/22/38.md

17 lines
274 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea
# fuatia adui zangu
"kufukuza adui zangu"
# Niliwararua na kuwasambaratisha
Daudi anajilinganisha na hayawani wakali.
# chini ya miguu yangu
"Miguu" hapa inamaanisha nguvu na kumiliki ushindi juu ya adui zake.