wakiteka nyara
Mara nyingi walivamia na kuchukua mali.
Wagirizi
Kundi la watu waliokuwa wakiishi kati ya Filistia na Misri.
uelekeo wa kwenda Shuri
"njiani ambapo watu wengi walisafiri kuelekea Shuri"
Shuri
Ni mkoa uliokuwepo kaskazini mwa mpaka wa Misri.
Akishi
Mfalme wa Gathi.