umetenda kama kahaba, tamaa za mataifa
Oholiba anatenda kama kahaba pamoja na mataifa kwa sababu wanaume aliolala nao ni alama ya utajiri na nguvu ya haya mataifa.
nitakiweka kikombe chake
Neno "kikombe" linajea kwa hukumu ya Oholiba. Inawakilisha kitu alichokipokea.