forked from WA-Catalog/sw_tn
422 B
422 B
Maelezo ya Jumla:
Yahwe akaanza kumweleza Ezekieli kuhusu uzinifu wa mke wake Oholiba, dada yake na Ohola.
Oholiba
Hili ni jina la kike linalomaanisha "hima yake yu katikati yake."
waliokuwa wamevaa ngua za ushawishi, walikuwa watu waendesha farasi
Maneno haya yote yanaelezea watu ambao ni matajiri. "waliokuwa matajiri"
Ilikuwa kama kwa dada wote
"Dada wote wakawa najisi kupitia matendo yao ya ukahaba"