sw_tn_fork/psa/145/017.md

17 lines
505 B
Markdown

# Yahwe ni wa haki katika njia zake zote
"Watu wanaweza kuona katika yote ambayo Yahwe anafanya kuwa yeye ni mwenye haki"
# mwenye fadhili katika yote atendayo
"na ni mwenye fadhili katika yote atendayo" au "watu wanaweza kuona katika mambo yote ambayo Yahwe anafanya ya kuwa ni mwenye fadhili"
# yuko karibu kwa wale wote wanaomwita
"anatenda upesi kuwasaidia wale wanaoomba"
# wale wote wanaomwita kwa uaminifu
"kwa wale wanaosema ukweli tu wanapoomba" au "kwa wote wale anaowaamini wanapoomba"