forked from WA-Catalog/sw_tn
37 lines
984 B
Markdown
37 lines
984 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Asafu anazungumza kwa niaba ya Israeli. Anaanza katika mstari wa 8 kuzungumzia jinsi Mungu alivyowaweka Israeli katika nchi yao kana kwamba Mungu alikuwa ni mtu anayesafisha ardhi ili kupanda mzabibu.
|
|
|
|
# Ulisafisha nchi kwa ajili yake
|
|
|
|
"Ulisafisha nchi kwa ajili ya mzabibu"
|
|
|
|
# ikasika mzizi
|
|
|
|
""mzabibu ulikamata mzizi" au "mzabibu ulianza kuota"
|
|
|
|
# kuijaza nchi
|
|
|
|
"matawi yake yakafunika nchi"
|
|
|
|
# Milima ilifunikw kwa kivuli chake, seda za Mungu kwa matawi yake
|
|
|
|
"kivuli chake kilifunika milima, matawi yake seda za Mungu"
|
|
|
|
# seda za Mungu kwa matawi yake
|
|
|
|
"na seda za Mungu zilifunikwa kwa matawi yake" "namatawi yake yalifunika seda za Mungu"
|
|
|
|
# seda za Mungu
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni 1) "miti ya seda mirefu zaidi," miti ya seda iliyoota kwenye "milima" katika nchi ya Lebanoni kaskazini mwa Israeli, au 2) "Miti ya seda ya Mungu."
|
|
|
|
# bahari
|
|
|
|
bahari ya Mediteranea magharibi mwa Israeli
|
|
|
|
# vichipukizi
|
|
|
|
sehemu za mimea ambazo zinaanza kutokeza kutoka ardhini
|
|
|