forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
641 B
Markdown
17 lines
641 B
Markdown
# mtu apandaye haba pia atavuna haba, na yeyote apandaye kwa lengo la baraka pia atavuna baraka
|
|
|
|
Paulo anatumia mfano wa mkulima anayepanda mbegu kufafanua matokeo ya utoaji. Kama mavuno ya mkulima inavyotegemea kiasi anachopanda, hivyo Mungu atatoa baraka kidogo au nyingi kutegemea kiasi ambacho Wakorintho wanatoa.
|
|
|
|
# atoe kama alivyopanga moyoni mwake
|
|
|
|
Hapa neno "moyo" linamaanisha fikra na hisia'
|
|
|
|
# si kwa huzuni au kwa kulazimishwa
|
|
|
|
Yaweza kusemwa kuwa: "kwa sababu anajisikia hatia au mtu kulmazimisha"
|
|
|
|
# Kwa kuwa Mungu humpenda yule atoaye kwa furaha.
|
|
|
|
Mungu anawataka watu kutoa kwa furaha kusaidia kuwahudumia ndugu waamini.
|
|
|