forked from WA-Catalog/sw_tn
855 B
855 B
Sentensi Unganishi:
Mwandishi anatoa onyo la nne.
kwa makusudi
"kwa kukusudia"
baada ya kuwa tumepokea ujuzi wa kweli
Ujuzi wa kweli kunaongelewa kana kwamba ni chombo ambacho kinaweza kumpa mtu mmoja hadi mwingine. AT: "baaba ya kuwa tumejifunza kweli"
dhabihu ya dhambi haipo tena
"hakuna awezaye kutoa dhabihu ambayo Mungu atatusamehe dhambi zetu"
kweli
Ukweli kuhusu Mungu.
hakuna tena dhabihu kwa ajili ya dhambi
Hakuna mtu yeyote awezaye kutoa dhabihu mpya kwa sababu dhabihu ya Kristo ndiyo pekee inayofanya kazi.
dhabihu kwa ajili ya dhambi
"dhabihu kwa ajili ya dhambi" inasimama kama njia tendaji ya kudhabihu wanyama ili kuondoa dhambi"
ya hukumu
ya hukumu ya Mungu. ambayo, Mungu atahukumu.
ukali wa moto ambao utawateketeza adui wa Mungu
Ukali wa Mungu unaongelwa kana ni moto ambao ungechoma maadui wake.