sw_tn_fork/gal/02/09.md

21 lines
390 B
Markdown

# Kujenga kanisa
Ni watu waliwaofundisha watu kuhusu Yesu na kuwashawishi wamwamini Yesu.
# Neema niliyopewa mimi
"kwamba Mungu amekuwa mwema kwangu"
# kutupokea....mkono wa kulia wa ushirika
"Waliwakaribisha...kama watendakazi wenzao" au "waliwakaribisha...kwa heshima"
# Mkono wa kulia
"Mikono yao ya kuume"
# Kuwakumbuka masikini
"kushughulikia au kujali mahitaji ya masikini"