sw_tn_fork/rev/17/15.md

17 lines
270 B
Markdown

# Yale maji uliyoyaona, hapo alipoketi yule kahaba ni watu, makutano, mataifa na lugha
Hapa "ni" inamaanisha "yanawakilisha"
# maji
"mito mingi"
# makutano
"makundi makubwa ya watu" au "idadi kubwa ya watu"
# lugha
Hii inamaanisha watu wanaozungumza hizo lugha.