sw_tn_fork/psa/113/009.md

5 lines
132 B
Markdown

# Anampa nyumba mwanamke aliyetasa
Hapa "nyumba" inamaanisha watoto wanaoishi nyumbani. "Anampa watoto mwanamke ambaye hakuwanao"