forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
827 B
Markdown
25 lines
827 B
Markdown
# Acha bahari ipige kelele na kila kitu kilichomo
|
|
|
|
Mwandishi wa zaburi anazungumza kana kwamba bahari ni mtu anayeweza kupaza sauti kwa Mungu. "Iwe kana kwamba bahari na kila kitu kilichomo kinapiga kelele"
|
|
|
|
# dunia na wote wanaoishi ndani yake
|
|
|
|
Mwandishi wa zaburi anazungumzia dunia kana kwamba ni mtu. "na acha dunia na wote wanaoishi ndani yake wapige kelele"
|
|
|
|
# Acha mito ipige makofi, na milima ipige kelele ya shangwe
|
|
|
|
Mwandishi anazungumza kana kwamba mito na milima ni watu wanaoweza kupiga makofi na kupiga kelele. "Iwe kana kwamba mito inapiga makofi na milima inapiga kelele ya furaha"
|
|
|
|
# dunia ... mataifa
|
|
|
|
Misemo hii ni njia nyingine ya kusema "watu wa duniani" na "watu wanaoishi katika mataifa"
|
|
|
|
# mataifa kwa usawa
|
|
|
|
"atahukumu mataifa kwa usawa"
|
|
|
|
# kwa usawa
|
|
|
|
"ukweli" au "kutumia kigezo sawa kwa kila mmoja"
|
|
|