sw_tn_fork/psa/066/008.md

13 lines
425 B
Markdown

# Mpe Mungu baraka ... acha sauti ya sifa yake isikike
Misemo hii miwili ina maana za kufanana. Wazo linarudiwa kusisitiza umuhimu wa kumsifu Mungu.
# yetu
Katika mstari huu "yetu" inajumuisha Daudi na watu anaozungumza nao.
# haruhusu miguu yetu kuteleza
Mwandishi anazungumzia ulinzi wa Mungu kama kuwaepusha watu wake kuteleza wanapotembea au kuanguka katika mteremko wa ghafla. "hajaturuhusu kuanguka katika maafa"