1.1 KiB
Wafilipi 03 Maelezo kwa ujumla
Muundo na Mpangilio
Katika mistari 4-7, Paulo anaorodhesha jinsi anavyostahili kuitwa Myahudi mwenye haki. Kwa kila namna, Paulo alikuwa Myahudi kamili kabisa. Lakini anatofautisha hii na ukuu wa kumfuata Yesu. (Tazama :rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous)
Dhana muhimu katika sura hii
Mbwa
Watu wa kale wa Mashariki ya Karibu wallitumia taswira ya mbwa kama ishara ya watu kwa njia isiyo pendeka. Siyo mila zote hutumia "mbwa" kwa njia hii.
Miili iliyofufuka
Tunafahamu kwa uchache jinsi watu watakavyokuwa mbinguni. Paulo anafundisha kwamba Wakristo watakuwa na miili ya utukufu na hawatawaliwa na dhambi. (Tazama: //en/tw/dict/bible/kt/heaven and rc://en/tw/dict/bible/kt/sin)
Mifano muhimu kwa sura hii
Tuzo
Paulo anatumia mfano endelevu kuelezea maisha ya Kikristo. Lengo la maisha ya Kikristo ni kujaribu kukuwa kama Kristo hadi mtu afariki dunia. Hatuwezi kulifikia hili lengo kikamilivu lakini ni lazima tujitahidi kulifikia.