sw_tn_fork/phm/01/21.md

25 lines
585 B
Markdown

# Ujasiri kuhusu utii wako
"Kwa sababu nina hakika kwamba utafanya kile nilichosema"
# Na wakati mwingine
"Pia"
# andaa chumba kwa ajili yangu
andaa chumba hapo kwako iwe tayari kwa ajili yangu. Paulo alimwambia Filemoni afanye hivyo.
# nitakutembelea hivi karibuni
"Wale walioniweka gerezani wataniachia huru hivyo ntakuja kwako"
# Sentensi unganishi
Paulo anamalizia barua yake kwa kuwabariki Filemoni na waamini wote waliokuwa wakikusanyika kusali katika nyumba ya Filemoni.
# Maelezo ya jumla
Maneno "wewe, ninyi" yanawaelezea Filemoni na waamini waliokutana nyumbani.