forked from WA-Catalog/sw_tn
404 B
404 B
lakini alikuwa amefanya unabii
kwa sababu alikuwa ametabilia
na dhambi
Kutumia hekalu kama mahali pa kuficha ilikuwa dhambi. Inaweza kuwa na manufaa kufanya hili wazi. AT "na dhambi kwa kutumia vibaya hekalu
jina baya
Huu ndio idiomi. AT"'ili waweze kunipa sifa mbaya" au "ili waweze kutoa ripoti mbaya juu yangu"
Kumbuka
Huyu ni idiomi. AT: "Kumbuka"
Noadia
Hili ni jina la mwanamke