forked from WA-Catalog/sw_tn
642 B
642 B
Nehemia mwana wa Azbuki, mtawala
Nehemia alikuwa mtawala, si Azbuki.
Nehemia
Huyu ni mtu tofauti aitwaye Nehemia kutoka kwa mtu aliyeandika kitabu hiki.
mtawala
"msimamizi mkuu" au "kiongozi"
nusu ya wilaya
"Nusu" ina maana sehemu moja kati ya sehemu mbili sawa
Nehemia...Azbuki...Rehumi....Hashabia
Haya ni majina ya watu.
Beth-suri...Keila
Haya ni majina ya mahali
kujenga mahali... Walawi walijenga
Maneno haya yanataja kutengeneza ukuta. AT "aliandaa ukuta hadi mahali ... Walawi walijenga ukuta"
watu wenye nguvu
"wapiganaji"
kwa wilaya yake
"anayewakilisha wilaya yake" au "kwa niaba ya wilaya yake"