sw_tn_fork/neh/03/11.md

21 lines
481 B
Markdown

# Malkiya...Harimu....Hashubu...Pahat Moabu...Shalumu.....Haloheshi
Haya yote ni majina ya watu
# wajenga sehemu nyingine...alijenga, pamoja na binti zake.
Maneno haya yanataja ukarabati wa ukuta. AT "walijenga sehemu nyingine ya ukuta ... alijenga ukuta, pamoja na binti zake"
# Shalumu mwana wa Haloheshi, mtawala
Sharumu alikuwa mtawala, sio Halloheshi.
# mtawala
"msimamizi mkuu" au "kiongozi"
# nusu ya wilaya
"Nusu" ina maana sehemu moja kati ya sehemu mbili sawa.